1 Sam. 20:2 SUV

2 Naye akamwambia, Hasha! Hutakufa; angalia, baba yangu hatendi neno kubwa wala dogo bila kuifunulia mimi, na baba yangu ana sababu gani ya kunificha jambo hili? Sivyo usemavyo.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:2 katika mazingira