1 Sam. 20:3 SUV

3 Daudi akaapa, akasema, Baba yako anajua sana ya kuwa nimeona kibali machoni pako, naye asema, Yonathani asilijue neno hili, asije akahuzunika; lakini ni kweli, aishivyo BWANA, na iishivyo roho yako, iko hatua moja tu kati ya mimi na mauti.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:3 katika mazingira