10 Washindanao na BWANA watapondwa kabisa;Toka mbinguni yeye atawapigia radi;BWANA ataihukumu miisho ya dunia;Naye atampa mfalme wake nguvu,Na kuitukuza pembe ya masihi wake.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 2
Mtazamo 1 Sam. 2:10 katika mazingira