1 Sam. 2:27 SUV

27 Kisha mtu wa Mungu akamwendea Eli, akamwambia, BWANA asema hivi, Je! Mimi sikujidhihirisha nafsi yangu kwa nyumba ya baba yako, walipokuwa katika Misri, wakiitumikia nyumba ya Farao?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 2

Mtazamo 1 Sam. 2:27 katika mazingira