1 Sam. 2:35 SUV

35 Nami nitajiinulia kuhani mwaminifu, atakayefanya sawasawa na mambo yote niliyo nayo katika moyo wangu, na katika nia yangu; nami nitamjengea nyumba iliyo imara; naye atakwenda mbele ya masihi wangu milele.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 2

Mtazamo 1 Sam. 2:35 katika mazingira