1 Sam. 2:36 SUV

36 Kisha itakuwa, ya kwamba kila mtu atakayesalia katika nyumba yako atakwenda kumsujudia, apate kipande kidogo cha fedha, na mkate mmoja; na kumwambia, Tafadhali unitie katika kazi mojawapo ya ukuhani, nipate kula kipande kidogo cha mkate.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 2

Mtazamo 1 Sam. 2:36 katika mazingira