1 Sam. 20:12 SUV

12 Naye Yonathani akamwambia Daudi, BWANA, Mungu wa Israeli, na awe shahidi; nitakapokuwa nimekwisha kumwuliza baba yangu, kama wakati huu kesho, au siku ya tatu, angalia, kama liko neno jema la kumfaa Daudi, je! Nisikupelekee habari na kukufunulia neno hili?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:12 katika mazingira