1 Sam. 20:15 SUV

15 lakini pamoja na hayo, hata jamaa yangu pia hutawaondolea kabisa fadhili zako; la, hata wakati ule BWANA atakapokuwa amewaondoa kabisa adui za Daudi wote pia katika uso wa nchi.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:15 katika mazingira