1 Sam. 20:5 SUV

5 Naye Daudi akamwambia Yonathani, Tazama, kesho ni mwandamo wa mwezi, nami hainipasi kukosa kuketi chakulani pamoja na mfalme; lakini niache nijifiche bondeni hata siku ya tatu jioni.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:5 katika mazingira