6 Baba yako akiona ya kuwa sipo basi sema, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa, aende upesi Bethlehemu, mji wake, kwa maana iko huko dhabihu ya mwaka kwa ajili ya jamaa yake yote.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 20
Mtazamo 1 Sam. 20:6 katika mazingira