1 Sam. 22:1 SUV

1 Basi Daudi akaondoka huko, akakimbilia pango la Adulamu; na ndugu zake na watu wote wa mbari ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 22

Mtazamo 1 Sam. 22:1 katika mazingira