1 Sam. 23:1 SUV

1 Kisha wakamwambia Daudi, kusema, Angalia, Wafilisti wanapigana vita juu ya Keila na kuiba nafaka sakafuni mwa kupuria.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 23

Mtazamo 1 Sam. 23:1 katika mazingira