1 Sam. 23:2 SUV

2 Basi Daudi akamwuliza BWANA, kusema, Je! Niende nikawapige hao Wafilisti? Naye BWANA akamwambia Daudi, Nenda ukawapige Wafilisti, na kuuokoa Keila.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 23

Mtazamo 1 Sam. 23:2 katika mazingira