1 Sam. 23:5 SUV

5 Ndipo wakaenda Keila, Daudi na watu wake, wakapigana na hao Wafilisti, wakateka nyara ng’ombe zao, na kuwaua uuaji mkuu. Hivyo Daudi akawaokoa watu wa Keila.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 23

Mtazamo 1 Sam. 23:5 katika mazingira