1 Sam. 23:4 SUV

4 Basi Daudi akamwuliza Bwana tena, Naye BWANA akamjibu, akasema, Ondoka, ukashukie Keila; kwa kuwa nitawatia hao Wafilisti mikononi mwako.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 23

Mtazamo 1 Sam. 23:4 katika mazingira