1 Sam. 25:12 SUV

12 Basi vijana wake Daudi wakageuka, wakaenda zao, wakarudi, nao wakaja wakamwambia sawasawa na maneno hayo yote.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 25

Mtazamo 1 Sam. 25:12 katika mazingira