1 Sam. 25:15 SUV

15 Walakini watu hawa walitutendea mema sana, wala hatukupata dhara, wala sisi hatukupotewa na kitu cho chote, wakati wote tulipofuatana nao, tulipokuwako mavueni;

Kusoma sura kamili 1 Sam. 25

Mtazamo 1 Sam. 25:15 katika mazingira