1 Sam. 25:14 SUV

14 Lakini kijana mmojawapo alimpasha habari Abigaili, mkewe Nabali, kasema, Tazama, Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani waje ili kumsalimu bwana wetu, naye akawatukana.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 25

Mtazamo 1 Sam. 25:14 katika mazingira