35 Basi Daudi akapokea mkononi mwake vitu vile alivyomletea; akamwambia, Haya! Kwea kwa amani kwenda nyumbani kwako; tazama, nimeisikiliza sauti yako, nami nimeukubali uso wako.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 25
Mtazamo 1 Sam. 25:35 katika mazingira