1 Sam. 25:7 SUV

7 Nami sasa nimesikia ya kuwa una watu wanaokata manyoya kondoo zako; haya! Wachungaji wako wamekuwa pamoja nasi, wala hatukuwadhuru, wala hawakukosa kitu wakati wote walipokuwako huko Karmeli.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 25

Mtazamo 1 Sam. 25:7 katika mazingira