1 Sam. 28:1 SUV

1 Ikawa siku zile hao Wafilisti wakakusanya majeshi yao waende vitani, ili kupigana na Israeli. Naye Akishi akamwambia Daudi, Jua hakika ya kuwa wewe utatoka pamoja nami jeshini, wewe na watu wako.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 28

Mtazamo 1 Sam. 28:1 katika mazingira