2 Naye Daudi akamwambia Akishi, Vema, sasa utajua atakayoyatenda mtumishi wako. Naye Akishi akamwambia Daudi, Haya basi! Mimi nitakufanya wewe kuwa mlinda kichwa changu daima.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 28
Mtazamo 1 Sam. 28:2 katika mazingira