1 Sam. 29:8 SUV

8 Naye Daudi akamwambia Akishi, Lakini mimi nimefanyaje? Nawe umeona nini kwangu mimi mtumwa wako, muda wote niliokaa mbele yako hata leo, nisipate ruhusa niende na kupigana na adui za bwana wangu mfalme?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 29

Mtazamo 1 Sam. 29:8 katika mazingira