1 Sam. 29:9 SUV

9 Akishi akajibu, akamwambia Daudi, Mimi najua ya kuwa u mwema machoni pangu, kama malaika wa Mungu; ila hao wakuu wa Wafilisti wamesema, Huyu hatakwea pamoja nasi kwenda vitani.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 29

Mtazamo 1 Sam. 29:9 katika mazingira