1 Sam. 30:10 SUV

10 Lakini Daudi akakaza kufuata, yeye na watu mia nne; kwa maana watu mia mbili walikaa nyuma, ambao walitaka kuzimia hata hawakuweza kukivuka hicho kijito Besori.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 30

Mtazamo 1 Sam. 30:10 katika mazingira