1 Sam. 30:24 SUV

24 Tena ni nani atakayewasikiliza ninyi katika jambo hili? Kwa kuwa kama lilivyo fungu lake yeye ashukaye vitani, ndivyo litakavyokuwa na fungu lake huyo akaaye karibu na vyombo; watagawiwa sawasawa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 30

Mtazamo 1 Sam. 30:24 katika mazingira