23 Ndipo Daudi akasema, La, ndugu zangu, msitende hivyo katika hizo nyara alizotupa BWANA, ambaye ndiye aliyetuhifadhi, akalitia mikononi mwetu lile jeshi lililokuja kinyume chetu.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 30
Mtazamo 1 Sam. 30:23 katika mazingira