1 Sam. 31:1 SUV

1 Basi Wafilisti wakapigana na Israeli; nao watu wa Israeli wakakimbia mbele ya Wafilisti, wakaanguka wameuawa katika mlima wa Gilboa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 31

Mtazamo 1 Sam. 31:1 katika mazingira