1 Sam. 4:1 SUV

1 [Ikawa siku zile Wafilisti walikusanyika ili kupigana na Israeli,] nao Waisraeli wakatoka juu ya Wafilisti kwenda vitani; wakatua karibu na Ebenezeri, nao Wafilisti wakatua huko Afeki.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:1 katika mazingira