1 Sam. 4:16 SUV

16 Yule mtu akamwambia Eli, Mimi ndimi niliyetoka jeshini, nami leo hivi nimekimbia toka jeshini. Naye akasema, Yalikwendaje, mwanangu?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:16 katika mazingira