1 Sam. 4:17 SUV

17 Yeye aliyeleta habari akajibu, akasema, Israeli wamekimbia mbele ya Wafilisti, tena watu wengi sana wameuawa, hata na wana wako wawili, Hofni na Finehasi, wamekufa pia, na sanduku la Mungu limetwaliwa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:17 katika mazingira