1 Sam. 4:18 SUV

18 Ikawa alipolitaja sanduku la Mungu, Eli akaanguka kitini pake kwa nyuma, kando ya mlango, shingo yake ikavunjika, akafa; maana alikuwa mzee, tena mzito. Naye alikuwa amewaamua Israeli miaka arobaini.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:18 katika mazingira