1 Sam. 4:19 SUV

19 Tena mkwewe, mkewe huyo Finehasi, alikuwa mja-mzito, karibu na kuzaa; basi, aliposikia habari ya kutwaliwa sanduku la Mungu, na ya kwamba mkwewe na mumewe wamekufa, akajiinamisha, akazaa; maana utungu wake ulimfikilia.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:19 katika mazingira