1 Sam. 4:20 SUV

20 Hata alipokuwa katika kufa, wale wanawake waliohudhuria karibu naye wakamwambia, Usiogope; kwa maana umezaa mtoto mwanamume. Walakini hakujibu, wala hakumtazama.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:20 katika mazingira