1 Sam. 4:21 SUV

21 Akamwita mtoto, Ikabodi, akisema, Huo utukufu umeondoka katika Israeli; kwa sababu sanduku la Mungu lilikuwa limetwaliwa, na kwa sababu ya mkwewe na mumewe.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:21 katika mazingira