1 Sam. 4:3 SUV

3 Hata watu walipofika kambini, wazee wa Israeli wakasema, Mbona BWANA ametupiga leo mbele ya Wafilisti? Twende tukalilete sanduku la agano la BWANA toka Shilo hata huku, lije kati yetu, na kutuokoa katika mikono ya adui zetu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:3 katika mazingira