1 Sam. 4:8 SUV

8 Ole wetu! Ni nani atakayetuokoa na mkono wa miungu hawa walio hodari? Hawa ndio miungu waliowapiga Wamisri kwa mapigo ya kila namna jangwani.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:8 katika mazingira