1 Sam. 6:3 SUV

3 Nao wakajibu, Mkilirudisha hilo sanduku la Mungu wa Israeli, msilirudishe kitupu; lakini msikose kumpelekea na matoleo ya kosa; hivyo mtapona, tena mtafunuliwa ni kwa sababu gani mkono wake haukuondolewa kwenu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 6

Mtazamo 1 Sam. 6:3 katika mazingira