1 Sam. 7:10 SUV

10 Hata Samweli alipokuwa akiitoa hiyo sadaka ya kuteketezwa, Wafilisti wakakaribia ili kupigana na Israeli; walakini BWANA akapiga ngurumo, mshindo mkubwa sana, juu ya Wafilisti siku ile, akawafadhaisha; nao wakaangamizwa mbele ya Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 7

Mtazamo 1 Sam. 7:10 katika mazingira