1 Sam. 7:7 SUV

7 Hata Wafilisti waliposikia ya kuwa wana wa Israeli wamekusanyika huko Mispa, mashehe wa Wafilisti walipanda juu ili kupigana na Israeli. Nao wana wa Israeli waliposikia, wakawaogopa Wafilisti.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 7

Mtazamo 1 Sam. 7:7 katika mazingira