6 Wakakusanyika huko Mispa, wakateka maji na kuyamimina mbele za BWANA; wakafunga siku ile, wakasema huko, Tumemfanyia BWANA dhambi. Samweli akawaamua wana wa Israeli huko Mispa.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 7
Mtazamo 1 Sam. 7:6 katika mazingira