1 Sam. 9:22 SUV

22 Naye Samweli akamtwaa Sauli na mtumishi wake, akawaleta ndani sebuleni, akawaketisha mahali pa heshima kati ya watu walioalikwa, nao jumla yao walikuwa kama watu thelathini.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:22 katika mazingira