1 Sam. 9:21 SUV

21 Basi Sauli akajibu, akasema, Je! Mimi si Mbenyamini, mtu wa kabila iliyo ndogo kuliko kabila zote za Israeli? Na jamaa yangu nayo si ndogo kuliko jamaa zote za kabila ya Benyamini? Kwa nini basi, kuniambia hivyo?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:21 katika mazingira