1 Sam. 9:20 SUV

20 Na wale punda zako waliopotea siku hizi tatu, usijiudhi kwa ajili yao; maana wameonekana. Na yote yaliyotamanika katika Israeli amewekewa nani? Si wewe, na nyumba yote ya baba yako?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:20 katika mazingira