1 Sam. 9:3 SUV

3 Na punda za Kishi, baba yake Sauli, walikuwa wamepotea. Kishi akamwambia Sauli mwanawe, Haya basi, twaa mtumishi mmoja pamoja nawe, uondoke, uende ukawatafute punda hao.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:3 katika mazingira