1 Sam. 9:5 SUV

5 Hata walipofika nchi ya Sufu, Sauli akamwambia yule mtumishi aliyefuatana naye, Haya, na turudi, baba yangu asije akaacha kufikiri habari za punda akatufikiri sisi.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:5 katika mazingira