1 Sam. 9:6 SUV

6 Naye akamwambia, Tazama, katika mji huu mna mtu wa Mungu, naye ni mtu mwenye kuheshimiwa; yote asemayo hutukia kweli kweli; basi, twende huko; labda yeye aweza kutuambia habari ya safari yetu tunayoiendea.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:6 katika mazingira