2 Sam. 10:17 SUV

17 Alipoambiwa Daudi, akakusanya Israeli wote, akavuka Yordani, akaja Helamu. Nao Washami wakajipanga kinyume cha Daudi, wakapigana naye.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 10

Mtazamo 2 Sam. 10:17 katika mazingira