2 Sam. 10:3 SUV

3 Lakini wakuu wa wana wa Amoni wakamwambia Hanuni, bwana wao, Je! Waona ya kuwa Daudi amemheshimu babayo kwa kutuma kwako wafariji? Je! Daudi hakuwapeleka watumishi wake kwako ili kuuangalia mji, na kuupeleleza, na kuuangamiza?

Kusoma sura kamili 2 Sam. 10

Mtazamo 2 Sam. 10:3 katika mazingira