2 Sam. 11:2 SUV

2 Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani, akatembea juu ya dari ya jumba la mfalme; na alipokuwa juu ya dari aliona mwanamke anaoga; naye huyo mwanamke alikuwa mzuri sana, wa kupendeza macho.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 11

Mtazamo 2 Sam. 11:2 katika mazingira